Search
Now showing items 1-9 of 9
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995
(Wizara ya Fedha, 1995)
Palo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008
(Wizara ya Fedha, 2008)
Katika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998
(Wizara ya Fedha, 1998)
Mpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyo
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001
(Wizara ya Fedha, 2001)
Katika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018
(Wizara ya Fedha, 2018)
Mwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2013
(Wizara ya Fedha, 2013)
Mwaka 2013, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7.0ikilinganishwa na ukuaj i wa asilimia 6.9 mwaka 20 12. Ukuaj i huu ulitokana nakuimarika kwa sekta zinazochangia Pato la Taifa kwa kiasi kikubwa hususansekta ...
Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012
(Wizara ya Fedha, 2012)
Palo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020
(Wizara ya Fedha, 2020)
Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usaflrishaji ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020
(Wizara ya Fedha, 2020)