Search
Now showing items 1-10 of 10
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 141,872,730 ikilinganishwa na shilingi milioni 135,478,189 mwaka 2021, sawa na ukuaji wa asilimia 4.7. Kiwango hicho cha ukuaji kilitokana na: mikakati ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998
(Wizara ya Fedha, 1998)
Mpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyo
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001
(Wizara ya Fedha, 2001)
Katika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016
(Wizara ya Fedha, 2016)
Mwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2011
(Wizara ya Fedha, 2011)
Katika 1nwaka 2011, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilin1ia6.4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2010. Kiwango kidogo chaukuaji kilitokana na hali mbaya ya ukame iliyojitokeza katika sehemumbalin1bali ...
Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012
(Wizara ya Fedha, 2012)
Palo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ...
Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010
(Wizara ya Fedha, 2010)
Katika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi ...
Hali ya Uchumi wa Taifa,1987
(Wizara ya Fedha, 1987)
Kalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa ...
Hali ya Uchumi wa Taifa 2023
(Wizara ya Fedha, 2024-06)
Mwaka 2023, Pato halisi la Taifa lilifikia shilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa na ukuaji wa asilimia 5.1 ikilinganishwa na asimilia 4.7 mwaka 2022. Ukuaji huo ulichangiwa ...