Browsing National Economic Survey by Author "Tanzania, United Republic"
Now showing items 1-9 of 9
-
Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2015
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2015) -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)Mwaka 2018, Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilifanya maboreshoya takwimu za Pato la Taifa kwa kutumia mwaka 2015 kama mwaka wa kizio kutoka mwaka wa kizio wa 2007. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaa ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019
Tanzania, United Republic (2019)Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2019 kama ilivyokuwa mwaka 2018. Ukuaji huu ulitokana na kuendelea kuimarika kwa sekta ya madini, kuboreshwa kwa huduma za usafiri na usafirishaji, pamoja na utekelezaji ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2020
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usafirishaji ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2021
Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwaka 2021, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 135,517,812.70 ikilinganishwa na shilingi milioni 129,130,182.02 mwaka 2020, sawa na ukuaji wa asilimia 4.9 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.8 ... -
The National Economic Survey 2010
Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2011-08)In 2010, the real GDP grew by 7.0 percent compared to 6.0 percent in 2009. This growth resulted from increased growth rates in economic activities that have substantial contribution to GDP including agricultural; trade and ... -
Speech By the Minister for Finance and Planning, Hon. Dr. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (MP.), Presenting to The Parliament, The Economic Survey 2022 Report and The National Annual Development Plan 2023- 2024
Tanzania, United Republic (Ministry of Finance and Planning, 2023)