Browsing National Economic Survey by Title
Now showing items 23-29 of 29
-
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2018
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)Mwaka 2018, Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu ilifanya maboreshoya takwimu za Pato la Taifa kwa kutumia mwaka 2015 kama mwaka wa kizio kutoka mwaka wa kizio wa 2007. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaa ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2019
(2019)Pato halisi la Taifa lilikua kwa asilimia 7.0 mwaka 2019 kama ilivyokuwa mwaka 2018. Ukuaji huu ulitokana na kuendelea kuimarika kwa sekta ya madini, kuboreshwa kwa huduma za usafiri na usafirishaji, pamoja na utekelezaji ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2020
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usafirishaji ... -
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2021
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwaka 2021, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 135,517,812.70 ikilinganishwa na shilingi milioni 129,130,182.02 mwaka 2020, sawa na ukuaji wa asilimia 4.9 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.8 ... -
The National Economic Survey 2010
(Ministry of Finance and Planning, 2011-08)In 2010, the real GDP grew by 7.0 percent compared to 6.0 percent in 2009. This growth resulted from increased growth rates in economic activities that have substantial contribution to GDP including agricultural; trade and ... -
Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012
(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008)Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati ...