Now showing items 1-4 of 4

    • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2017 - 2018 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2017)
      Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2017/18 ni sehemu ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21 na hivyo unaendelea kutekeleza maeneo manne ya kipaumbele ya: (i) Viwanda vya kukuza uchumi ...
    • Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018 - 2019 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2018)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2018/19 ni wa tatu katika utekelezaji wa Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano, 2016/17 – 2020/21. Malengo mahsusi ya Mpango huu ni: (a) Kuendeleza kasi ya ukuaji wa uchumi kwa ...
    • Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2012 - 2013 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2012)
      Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2012/13 unabainisha misingi, malengo, vipaumbele, mikakati ya utekelezaji, na changamoto zilizopo hivi sasa katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo. Aidha, Mpango umejikita katika ...
    • Mwongozo wa Kitaifa wa Ufatiliaji na Tathmini ya Miradi na Programu za Maendeleo. 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (2022-01)
      Wizara ya Fedha na Mipango ina jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli za ufauatiliaji na Tathmini(U&T) ya utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya miradi na programu za maendeleo kitaifa, Aidha, Wizara, Taasisi za Umma ...