Now showing items 1-10 of 17

    • Hali ya Uchumi 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2016-17 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
      Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2015 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2016/17. Pamoja na hotuba hii nawasilisha vitabu vya Taarifa ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa 2023 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha, 2024-06)
      Mwaka 2023, Pato halisi la Taifa lilifikia shilingi bilioni 148,399.76 kutoka shilingi bilioni 141,247.19 mwaka 2022, sawa na ukuaji wa asilimia 5.1 ikilinganishwa na asimilia 4.7 mwaka 2022. Ukuaji huo ulichangiwa ...
    • Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2022 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
      Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa ilifikia shilingi milioni 141,872,730 ikilinganishwa na shilingi milioni 135,478,189 mwaka 2021, sawa na ukuaji wa asilimia 4.7. Kiwango hicho cha ukuaji kilitokana na: mikakati ...
    • Hotuba Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2022/23 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
      Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu likae kama Kamati ya Mipango ili kupokea na kujadili mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2016)
      Mwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji ...
    • Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2017 

      Tanzania, United Republic (Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)
      Mwaka 2017, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.1ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 mwaka 2016. Ukuaji huu ulitokana na utekelezaji wa miradi ya miundombinu ikiwemo miundombinu ya maji, nishati, barabara, ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2019 -2020 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2019)
      Mheshimiwa Mwenyekiti, awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutujalia uhai na afya njema na kutuwezesha wabunge wote kukutana tena hapa Jijini Dodoma, kupokea mapendekezo ya ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2023 -2024 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)
      Serikali inaendelea na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/26 wenye dhima ya Kujenga Uchumi Shindani na Viwanda kwa Maendeleo ya Watu. Mpango huo ni mwendelezo wa utekelezaji ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2013 - 2014 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2013)
      Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2013/14 ni ya pili katika mfululizo wa mipango ya kila mwaka ya kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2011/12-2015/16) ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa ...
    • Mapendekezo ya Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 – 2025/2026 

      Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)
      Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ambayo ni nyenzo ya kuunganisha juhudi za Taifa katika kufikia malengo ya maendeleo yanayotarajiwa ya kijamii na kiuchumi ilizinduliwa mwaka 1999. Uzinduzi huo ulifuatiwa na hatua za maboresho ...