Budget Documents
Permanent URI for this communityhttp://10.1.67.219/handle/123456789/4
Browse
Browsing Budget Documents by Subject "Budget Law"
Now showing 1 - 1 of 1
- Results Per Page
- Sort Options
Item Ijue sheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015(Ministry of Finance and Planning, 2016-09) Tanzania, United RepublicSheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake zilianza kutumika rasmi tarehe 1 Julai, 2015. Tangu sheria imeanza kutumika hadi sasa, kumekuwa na ongezeko la uhitaji wa wadau mbalimbali kutaka kuifahamu sheria hiyo. Kutokana na mahitaji hayo, Serikali imeona ni vyema kutoa chapisho hili la IjueSheria ya Bajeti Namba 11 ya Mwaka 2015. Lengo kuu la chapisho hili ni kujenga uelewa juu ya sheria ya bajeti kwa umma na wadau wengine kwa ujumla. Chapisho hili linatoa maelezo kwa lugha rahisi juu ya chimbuko la sheria, sababu za kuwepo kwa sheria na mambo muhimu yaliyozingatiwa kwenye sheria hiyo