(Wizara ya Fedha, 2025-04) Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Ni furaha ya kipekee kuwakaribisha katika Tolea la Tatu la Jarida la Hazina Yetu kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Toleo hili limeandaliwa likijumuisha maudhui ya Kipekee yanayoangazia mafanikio,changamoto na mwelekeo wa Wizara ya Fedha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2025.