(Wizara ya Fedha, 2011-10) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tanzania Bara inasherekea miaka (50) ya Uhuru ikishuhudia mafanikio na changamoto mbalimbali katika uchumi na huduma za jamii. Wizara ya Fedha ni miongoni mwa Wizara zilizoanzishwa mara baada ya kupata Uhuru mwaka 1961