National Economic Survey
Permanent URI for this communityhttp://10.1.67.219/handle/123456789/10
Browse
Browsing National Economic Survey by Subject "Vyazo vya mapato"
Now showing 1 - 9 of 9
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hali ya Uchumi Katika Mwaka,2012(Wizara ya Fedha, 2012) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 2012 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995(Wizara ya Fedha, 1995) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaPalo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998(Wizara ya Fedha, 1998) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008(Wizara ya Fedha, 2008) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2010(Wizara ya Fedha, 2010) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKatika mwaka 2010, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia7.0 ikilinganishwa na ukuaji wa asili1nia 6.0 mwaka 2009. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi zenye mchango mkubwa katika pato la Taifa ikijumuisha kilimo;biashara na matengenezo; na ujenzi. Ukuaji wa viwango vya juu ulijionesha katika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 22. 1 ); ujenzi(asilimia 10.2); un1eme na gesi (asili1nia 10.2); fedha (asilimia IO.I); nauzalishaji viwandani (asilimia 7.9).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2016(Wizara ya Fedha, 2016) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 I 6, Pato Ia Taifa I i likua kwa wastan i wa as il imia 7.0, sawa nai l ivyokuwa 1nwaka 20 1 5 . Ukuaji huu wa uchu1ni u l itokana na: kuongezeka kwaufuaj i wa u111eme hususan utokanao na gesi asilia; kLtongezeka kwa uzalishaj iviwandani; kui111arika kwa huduma za usafirishaj i; na kuongezeka kwa uandikishaj i wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure il iyoanza Januari 20 I 6. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumizil izokua kwa viwango vikubwa ni pa1noja na: ujenzi asilimia 1 3 .0; habari na mawasil iano (asilimia l 3.0); usafirishaj i na uhifadhi mizigo (asilimia 1 1 .8 ); na uchimbaj i madini na mawe (asilimia I 1 .5).Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2018(Wizara ya Fedha, 2018) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 20 18, Serikali kupitia Ofisi ya Tai fa ya Takwimu ilifanya maboreshoya tak,vimu za Pato la Taifa kwa kutun1ia mwaka 20 15 kama mwaka wa kiziokutoka mwaka wa kizio wa 20.07. Kufuatia maboresho hayo, mabadiliko kadhaayalijitokeza ikiwemo mfu1no na ukubwa wa Pato la Taifa; viwango vya ukuajina 1nchango wa sekta mbali1nbali katika Pato la Taifa; na uwiano v.1a viashiria1nbalimbali kwa Pato la Taifa. Maelezo ya kina kuhusu maboresho hayo yako .katika sura ya kurniItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2020(Wizara ya Fedha, 2020) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMwaka 2020, Pato la Taifa lilikua kwa asilimia 4.8 ikilinganishwa na asilimia 7.0 mwaka 2019. Kupungua kwa kasi ya ukuaji kulitokana na: mvua zilizozidi wastani ambazo zilisababisha uharibifu wa miundombinu ya usaflrishaji nchini na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi; na athari za hatua zilizochukuliwa na mataifa mbalimbali duniani ambao ni washirika wakubwa wa biashara wa Tanzania katika kukabiliana na janga la UVIK0-19.Item Hali ya Uchumi wa Taifa,1987(Wizara ya Fedha, 1987) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaKalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa muhimu uliendelea kuwa nafuu ingawajc upungufu wa baadhi ya bidhaa bado uliendelca. Upandc wa hudum a muhimu, upungufu ulicndclca kulokana na uhaba wa vifaa vya kulolea huduma na pia upanukaji wa ha raka wa mah!IBji ya huduma zenyewc kulokana naongczcko la haraka la idadi ya walu.