(Wizara ya Fedha, 2025-01) Jamhuri ya Muungano ya Tanzania
Kanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”.