Poverty Reduction
Permanent URI for this collectionhttp://10.1.67.219/handle/123456789/151
Browse
Browsing Poverty Reduction by Author "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Now showing 1 - 1 of 1
- Results Per Page
- Sort Options
Item Waraka wa Mkakati wa Kupunguza Umasikini(PRSP),2000(Wizara ya Fedha, 2000) Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaTangu Uhuru mwaka 196 1, Serikali ya Tanzaniaimekuwa ikijishughulisha na matatizo makuu matatu ya maendeleo: ujinga, maradhi na umasikini. Juhudi za taifa za kukabiliana na matatizo haya zilifanywa na Serikali Kuu katika mipango yake ya maendeleo ya muda wa kati na muda mrefu. Matokeo ya mipango hii ni kuongezeka kwa pato la wastani la mwananchi kwa mwaka, huduma za elimu, afya na huduma nyingine za kijamii hadi kufikia miaka ya 1970. Mafanikio haya hayakuwa endelevu katika miaka iliyofuata kutokana na mabadiliko mbali mbali ya ndani na nje ya nchi na udhaifu wa Sera uliojitokeza. Pamoja na juhudi zilizofanyika tangu katikati ya miaka ya 1980