Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (MB), Akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Serikali Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka, 2025 - 2026
Loading...
Date
2025-06-12
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Wizara ya Fedha
Abstract
Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 2025/26. Uwasilishaji wa bajeti hii umezingatia Ibara ya 137 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 23(3) cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni 124(4) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Februari 2023.
Description
Keywords
Bajeti Kuu, Mapato na Matumizi, Kikomi cha Bajeti, Makadirio na Matumizi