Browsing Guidelines by Title
Now showing items 20-30 of 30
-
Mwongozo wa Maandalizi na Mpango wa Bajeti kwa mwaka 2018 - 2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Serikali imeendelea kufanya maboresho ya Sheria, mifumo ya malipo na mifumo ya uandaaji wa mipango na bajeti katika jitihada za kuboresha usimamizi wa fedha za umma na kuboresha utoaji wa huduma. -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2018/2019
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2017)Mwongozo wa Mpango na Bajeti umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti Na.11 ya Mwaka 2015 na Kanuni zake. Mwongozo wa Mwaka 2018/19 ni wa tatu katika kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2019/20 / 2021/22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali Kwa Mwaka 2023 - 2024
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2023/24 umeandaliwa kwa mujibu wa Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea vipaumbele ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2019/20 – 2021/2022
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2021/2022
(Ministry of Finance and Planning, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022-23
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2022/2023
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2022)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23 umeandaliwa kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kanuni zake za mwaka 2015. Uandaaji wa Mwongozo huu umefanyika kwa kurejea ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2019-20 / 2021-22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2018)Sura hii inaeleza kwa ufupi utekelezaji wa Serikali katika mapato, matumizi, misaada na mikopo kwa mwaka 2017/18. Tathmini imefanyika kwa kulinganisha utekelezaji dhidi ya malengo katika kipindi husika. Kadhalika, mapitio ... -
Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali wa Mwaka 2021-22
(Wizara ya Fedha na Mipango, 2021)Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2021/22 unatoa maelekezo ya kuzingatiwa na Maafisa Masuuli wa Wizara, Idara Zinazojitegemea, Sekretarieti za Mikoa, Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi na ... -
Public Assets Management Guideline,2019
(Ministry of Finance and Planning, 2019)An Asset is an item, thing or entity that has potential or actual value to an organization. The value will vary between different organizations and their stakeholders, and can be tangible, financial or non-financial ...