Show simple item record

dc.contributor.authorTanzania, United Republic
dc.date.accessioned2022-10-24T09:34:07Z
dc.date.available2022-10-24T09:34:07Z
dc.date.issued2016
dc.identifier.urihttp://repository.mof.go.tz/handle/123456789/164
dc.description.abstractMwaka 2016, Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.0, sawa na ilivyokuwa mwaka 2015. Ukuaji huu wa uchumi ulitokana na: kuongezeka kwa ufuaji wa umeme hususan utokanao na gesi asilia; kuongezeka kwa uzalishaji viwandani; kuimarika kwa huduma za usafirishaji; na kuongezeka kwa uandikishaji wa wanafunzi kufuatia kuanza kwa sera ya Serikali ya kutoa elimu msingi bure iliyoanza Januari 2016. Katika kipindi hicho, shughuli za uchumi zilizokua kwa viwango vikubwa ni pamoja na: ujenzi asilimia 13.0; habari na mawasiliano (asilimia 13.0); usafirishaji na uhifadhi mizigo (asilimia 11.8); na uchimbaji madini na mawe (asilimia 11.5). Aidha, shughuli za kiuchumi za kilimo zilikua kwa kasi ndogo ya asilimia 2.1 mwaka 2016 ikilinganishwa na asilimia 2.3 mwaka 2015 kutokana na kutokuwa na mvua za kutosheleza katika msimu wa kilimo wa 2015/16.en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherWizara ya Fedha na Mipangoen_US
dc.subjectHali ya Uchumien_US
dc.titleKitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016en_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record