National Strategy & Economic Planning
Permanent URI for this communityhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/946
This division captures long-term visions, developmental milestones, and macro-economic performance reviews.
Browse
Browsing National Strategy & Economic Planning by Issue Date
Now showing 1 - 20 of 98
- Results Per Page
- Sort Options
Item Hotuba ya Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb,) Akiwasilisha Bungeni Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2024-2025 na Mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka(Wizara ya Fedha, 04/06/2025) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa leo mbele ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Fedha na Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi kwa mwaka 2024/25 inayoundwa na mafungu tisa (9) ambayo ni: Fungu 001 – Deni la Serikali; Fungu 006 – Idara ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali; Fungu 010 – Tume ya Pamoja ya Fedha; Fungu 013 – Kitengo cha Udhibiti wa Fedha Haramu; Fungu 021 – Hazina; Fungu 022 – Huduma za Mfuko Mkuu; Fungu 023 – Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali; Fungu 050 – Wizara ya Fedha; na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupokea, kujadili na kuidhinisha Mapendekezo ya Mpango na Bajeti kwa mwaka 2025/26 ya mafungu nane (8) ya Wizara ya Fedha pamoja na Fungu 045 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi.Item First year Progress Report on the Implementation of the Five-year Development Plan (Public Sector), 1964-1965(Ministry of Finance, 1965) Tanzania, The United RepublicThe Five-Year Plan is now a year old. It started very slowly but gathered some appreciable momentum during the latter part of the 1964/65 financial year. There were several reasons for the slow start.Item Mpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka 5 ya Kiuchumi na Jamii, Mwaka 1976-1981 (Sehemu ya Kwanza)(Wizara ya Fedha, 1981) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMpango wa Tatu wa Maendeleo ya Miaka Milano ya Kijamii na Kiucbumi oi barua ya mwisho kati.ka utekelezaji wa Mpango wa muda mrefu uliobuniwa mwaka 1964 kumalizikia 1980. Mpango huu wa tatu ambao unaanza mwaka 1976/77 na kumaJizikia mwaka 1980/81 wa kwanza na pekee ambao umejadiliwa n a vikao vya ngazi zote za Taifa kutoka Vijijini, Wilayani, Mikoani na katika Taifa.Item Hali ya Uchumi wa Taifa,1987(Wizara ya Fedha, 1987) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKalika mwaka 1987, hali ya uchumi wa IBifa haiku wa 1ofau1i sana nailivyokuwa ka1ika mwaka 1986. Uzalishaji kwa jumla uliongezeka Zaidi kidogo na japokuwa bei kwa waslani zilicndelea kuwa za juu, upalikanaji wa bidhaa muhimu uliendelea kuwa nafuu ingawajc upungufu wa baadhi ya bidhaa bado uliendelca. Upandc wa hudum a muhimu, upungufu ulicndclca kulokana na uhaba wa vifaa vya kulolea huduma na pia upanukaji wa ha raka wa mah!IBji ya huduma zenyewc kulokana naongczcko la haraka la idadi ya walu.Item Mpango wa Maendeleo wa Mwaka,1986 - 1987(Wizara ya Fedha, 1987) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1995(Wizara ya Fedha, 1995) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoPalo halisi la Taifa katika mwaka 1995 lilikua kwa kiwango cha asilimia 6.9kilinganislnva na ukuaji \Va asilimia 6.41nwaka 201 I. Ongezeko hili la ukuaj i lilitokana1a kuboreshwa kwa n1iundombinu ya usafirishaj i na ma\vasiliano parnoja na kuimarika,wa uzalishaji viwandani kutokana na jitihada za serikali za kuhakisha upatikanaji wa1meme wa uhakika sambamba na matumizi ya nishatmbadala katika uzalishajiItem National Five-Year Development Plan 2021/22–2025/26(Planning Commission, 1995) Tanzania, The United RepublicWe are standing at the thredshold of the 21st Century, a Century that will be characterized by competition. It is clear, therefore, that it will be a century dominated by those with advanced technological capacity, high productivity, modern and efficient transport and communication infrastructure and, above all highly skilled manpower imbued with initiative. If we are to be active participants in the global developments of the twenty-first century we must, as a Nation, find ways of improving and strengthening ourselves in all these areas.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,1998(Wizara ya Fedha, 1998) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMpangilio ambao u,nekuwa ukifuatwa ka1ika kua11daa ripoti ya Hali yaUchumi wa Taifa hadi mwaka 1997 ulianzisl11va mwaka 1970. Katika kipiruli hicho chore, hapakufanyika mabadiliko yoyote ya msingi katika mpangilio wa ripoti hiyoItem Maelekezo ya Makadirio ya Fedha za Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka 1999 - 2000(Ministry of Finance, 1999) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Tanzania Development Plan, Vision and Investment Priorities to Achieve Middle Income Status by 2025(Ministry of Finance and Planning, 2000) Tanzania, The United RepublicThe LTPP is some kind of a road map for ensuring that the country moves in the direction of realizing TDV 2025 in the decade and half of implementation that remained in all aspects. It was observed that significant structural transformation was required in order to reach the desired middle income status with US$ 3,000 per capita income in the remaining 15 years.Item Tanzania Assistance Strategy, 2000(Ministry of Finance and Planning, 2000) Tanzania, The United RepublicThe TAS process began in 1995, following a period of difficult relations between Tanzania and her Development Partners and the subsequent adoption of the recommendations of the Helleiner Report on Development Cooperation Issues. The TAS provides the strategic framework through which external resources are managed to achieve the PRS objectives.Item Waraka wa Mkakati wa Kupunguza Umasikini(PRSP),2000(Wizara ya Fedha, 2000) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoTangu Uhuru mwaka 196 1, Serikali ya Tanzaniaimekuwa ikijishughulisha na matatizo makuu matatu ya maendeleo: ujinga, maradhi na umasikini. Juhudi za taifa za kukabiliana na matatizo haya zilifanywa na Serikali Kuu katika mipango yake ya maendeleo ya muda wa kati na muda mrefu. Matokeo ya mipango hii ni kuongezeka kwa pato la wastani la mwananchi kwa mwaka, huduma za elimu, afya na huduma nyingine za kijamii hadi kufikia miaka ya 1970. Mafanikio haya hayakuwa endelevu katika miaka iliyofuata kutokana na mabadiliko mbali mbali ya ndani na nje ya nchi na udhaifu wa Sera uliojitokeza. Pamoja na juhudi zilizofanyika tangu katikati ya miaka ya 1980Item Mapendekezo ya Makadirio ya Matumizi ya Kawaida na ya Mpango Wa Maendeleo Kwa Mwaka Wa 2000 - 2001 (Kitabu Cha Pili)(Wizara ya Fedha, 2000) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2001(Wizara ya Fedha, 2001) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKatika mwaka 200I, Pato halisi la Tai fa lilikua kwa asilimia 5.6ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 4.9 mwaka 2000. Ukuaji huu ulichangiwa zaidi na kukua kwa sekta za kilimo; bidhaa za viwanda; uuzaj i jumla, rejareja na ahoteli (i kijumuisha utalii); na uchukuzi na mawasiliano. Kiwango cha ukuaji wa sekta za ujenz.i; uchimbaji madini na mawe; uendeshaji serikali; umeme na maji; na fedha na huduma za bima kilishuka ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2000.Item National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP)(Vice - President's Office, 2005) Tanzania, The United RepublicThe National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) is a second national organizing framework for putting the focus on poverty reduction high on the country’s development agenda. The NSGRP is informed by the aspirations of Tanzania’s Development Vision (Vision 2025) for high and shared growth, high quality livelihood, peace, stability and unity, good governance, high quality education and international competitiveness. It is committed to the Millennium Development Goals (MDGs), as internationally agreed targets for reducing poverty, hunger, diseases, illiteracy, environmental degradation and discrimination against women by 2015. It strives to widen the space for country ownership and effective participation of civil society, private sector development and fruitful local and external partnerships in development and commitment to regional and other international initiatives for social and economic development.Item Millennium Development Goals Progress Report,2006(Ministry of Finance, 2006) Tanzania, The United RepublicMillennium Development Goals Progress ReportItem Mkukuta Annual Implementation Report,2006-07(Ministry of Finance, 2007) Tanzania, The United RepublicThe MKUKUTA Annual Implementation Report 2006/07 (MAIR) is one of the outputs of the Government’s monitoring system. The objective of the Government in producing this report is to contribute to the overall Government reporting system that includes output reporting by MDAs, LGAs and non-state actors implementing MKUKUTA activities. The report is based on analysis of progress at goal level and provides an overview of the performance, challenges, lessons learned, and the next steps within each MKUKUTA cluster. It also includes progress on other processes and reforms, and how these have contributed to achievements of MKUKUTA outcomes.Item Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka,2008(Wizara ya Fedha, 2008) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKatika mwaka 2008, Pato halisi la Taifa lilikua kwa kiwango cha asilimia 7 .4 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7 .1 mwaka 2007. Ukuaji hu ulichangiwa zaidi na kuongezeka kwa viwango vya ukuaji katika shughuli za kiuchumi za kilimo; uvuvi; na huduma. Ukuaj i wa viwango vya juu ulijioneshakatika shughuli ndogo za kiuchumi za: mawasiliano (asilimia 20.5); fedha (asilimia 11.9); na uj enzi (asilimia 10.5). Hata hivyo, kiwango cha ukuaji katika shughuli za kiuchumi za viwanda na uj enzi kilipungua. Mchango wa shughuli za kiuchumi za huduma umeendelea kuongezeka katika mwaka 2008 ikilinganishwa na shughuli nyingine za kiuchumi.Item Taarifa ya Hali ya Uchumi 2008 na Malengo katika Kipindi cha Muda wa Kati 2009 - 2012(Wizara ya Fedha na Uchumi, 2008) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa likae kama Kamati ili liweze kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa katika kipindi cha mwaka 2008 na malengo katika kipindi cha Muda wa Kati (2009/10 – 2011/12). Pamoja na hotuba hii, nawasilisha Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa katika mwaka 2008; na Kitabu cha Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2009/10.Item National Strategy for Growth and Reduction of Poverty II NSGRP II(Ministry of Finance, 2010) Tanzania, The United RepublicThis is the Second National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP II) to be implemented between 2010/11 and 2014/15. In the Tanzanian lingua franca, Kiswahili, it is known as Mpango wa Pili wa Kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzania or MKUKUTA II. As with MKUKUTA I (2005/06 – 2009/10) the focus continues to be that of accelerating economic growth, reducing poverty, improving the standard of living and social welfare of the people of Tanzania as well as good governance and accountability. MKUKUTA II, like its predecessor, is a vehicle for realizing Tanzania’s Development Vision 2025, the Millennium Development Goals (MDGs) and the aspirations of the ruling Party’s Election Manifesto.