Budget Documents
Permanent URI for this communityhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/4
Browse
Browsing Budget Documents by Author "Tanzania, Jamhuri ya Muungano"
Now showing 1 - 20 of 71
- Results Per Page
- Sort Options
Item Bajeti kwa Lugha Rahisi ya Mwaka 2024 - 2025(Wizara ya Fedha, 2024-07-15) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoBajeti ya Serikali ni mpango unaoonesha namna Serikali itakavyokusanya na kutumia fedha katika kipindi cha mwaka mmoja kwa kuzingatia vipaumbele vya nchi. Kupitia bajeti, Serikali inapanga kutumia mapato kutoka katika vyanzo mbalimbali yatakayokusanywa kwa ajili ya kugharamia utoaji wa huduma kwa wananchi kama vile elimu, afya, maji na barabara.Item Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2013-14. Toleo la Mwananchi.(Wizara ya Fedha, 2013-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Bajeti ya Serikali mwaka 2019-20 kwa Lugha rahisi. Toleo la Wananchi.(Wizara ya Fedha, 2019-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Bajeti ya Serikali Toleo la Mwananchi 2025-26.(Wizara ya Fedha, 2025-08) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoBajeti ya Serikali ni mpango wa kifedha unaoandaliwa kwa kipindi cha mwaka mmoja unaoonesha mapato na matumizi yanayotarajiwa. Kupitia bajeti, Serikali huorodhesha vyanzo vya mapato vya ndani kama kodi na vyanzo vya mapato vya nje ikiwemo misaada na mikopo. Vilevile, Serikali hupanga kutumia mapato yatakayokusanywa kutoka katika vyanzo vyake vya mapato ili kugharamia utoaji wa huduma muhimu kwa wananchi ikiwemo elimu, afya, maji na miundombinu ya barabara.Item Hotuba wa Waziri wa Fedha Mh.Prof. Kighoma A.Malima akiwasilisha bungeni mapandekezo ya Serikali kuhusu makadirio na mapato na matumizi kwa mwaka 1993/94(Ministry of Finance, 1993-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri Wa Fedha Uchumi na Mipango Ndugu C.D.Msuya akiwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu Mpango wa maendeleo na makadirio ya mapato na matumizi na matumizi ya Serikali kwa mwaka 1986-87(Ministry of Finance, 1986-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Bajeti kuu ya Serikali ya Makadilio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2006-2007(Wizara ya Fedha na Mipango, 2006-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge likubali kujadili na kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2006/2007. Pamoja na hotuba hii, vimetayarishwa vitabu vinne vinanyoelezea kwa kina takwimu za bajeti. Kitabu cha kwanza kinahusu makasio ya mapato, kitabu cha pili na cha tatu vina makisio ya matumizi ya kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Mikoa na Halmashauri za Miji na Wilaya. Kitabu cha Nne kinaelezea makadirio ya matumizi ya maendeleo kwa Wizara, Idara na Mikoa pamoja na Halmashauri. Aidha, upo Muswada wa sheria ya Fedha na mwaka 2006/2007 ambao ni sehemmu ya bajeti hii.Item Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mwaka 2024-2025(Wizara ya Fedha, 2024-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lipokee, lijadili na kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2024/25. Bajeti hii inawasilishwa kwa mujibu wa Ibara ya 137 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ikisomwa pamoja na Kifungu cha 23 (3) cha Sheria ya Bajeti, Sura 439 na Kifungu cha 124 (4) cha Kanuni za Kudumu za Bunge Toleo la Februari 2023.Item Hotuba ya Mhe. Waziri wa Fedha Akiwasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti Ya Serikali Kwa Mwaka 2024/2025(Wizara ya Fedha, 2024-03) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoMheshimiwa Mwenyekiti, napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha mbele ya Bunge lako Tukufu Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2024/2025.Item Hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Katika Wizara ya Fedha na Mipango,2019-20(Wizara ya Fedha, 2018-11) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Mwl.Juliua K. Nyerere 25,SEP 1980(Wizara ya Fedha, 25/09/1980) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Ally Hassan Mwinyi 1987,kuhusu Hali ya Uchumu Wetu(Wizara ya Fedha, 1987-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere aliyotoa siku ya mashujaa 1979-MAPAMBANO YANAENDELEA(Wizara ya Fedha, 01/09/1979) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere 1984, Semina ya Elimu Arusha(Wizara ya Fedha, 22/10/1984) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Rais Mwalimu Julius K. Nyerere aliyotoa siku ya mashujaa 1979(Wizara ya Fedha, 01/09/1979) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel Yona akiwasilisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka 1998 - 1999(Wizara ya Fedha, 11/06/1998) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Basil Mramba(Mb) akiwasilisha makadirio na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 2004-2005(Wizara ya Fedha, 2004-08) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. C.D.Msuya (Mb) akiwasilisha bungeni mapandekezo ya matumizi ya Wizara ya Fedha,Uchumi na Mipango kwa mwaka 1987-88(Wizara ya Fedha, 1987-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. C.D.Msuya(Mb) akiwasilisha bungeni makadirio ya matumizi ya Wizara ya Fedha ,Uchumi na Mipango kwa mwaka 1986-87(Wizara ya Fedha, 1986-06) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoItem Hotuba ya Waziri wa Fedha Mh. Daniel N.Yona akiwasilisha bungeni makadirio na matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka 1998 -1999(Wizara ya Fedha, 1998-06) Tanzania, Jamhuri ya Muungano