Act
Permanent URI for this collectionhttps://repository.mof.go.tz/handle/123456789/304
Browse
Browsing Act by Author "Tanzania, Jamhuri ya Muungano"
Now showing 1 - 11 of 11
- Results Per Page
- Sort Options
Item Amri ya Kurekebisha Makosa ya Kiuchapaji Katika Sheria ya Ununuzi ya Umma ya Mwaka, 2023(Wizara ya Fedha, 2023-10-17) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoAmri hii itajulikana kama Amri ya Kurekebisha Makosa ya Kiuchapaji Katika Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023 na itachukuliwa kuwa imeanza kutumika tarehe 6 Oktoba, 2023.Item Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025.(Wizara ya Fedha, 2025-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Matumizi ya Fedha za Kigeni za mwaka 2025.Item Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha (Watoa Huduma Ndogo za Fedha Wasiopokea Amana) la Mwaka,2019(Wizara ya Fedha, 2019) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoToleo hili la Kanuni za Huduma Ndogo za Fedha (Watoa Huduma Ndogo za Fedha Wasiopokea Amana) la Mwaka 2019, ni Tafsiri Rasmi iliyosanifiwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa mujibu wa kifungu cha 84 cha Sheria ya Tafsiri ya Sheria, Sura ya 1.Item Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma, 2024(Wizara ya Fedha, 2024-09-24) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za mwaka 2024 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, ambazo hapa zimerejewa kama “Kanuni kuu”Item Kanuni za Usimamizi wa Mali za Umma za Mwaka, 2024(Wizara ya Fedha, 2024-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKanuni za Usimamizi wa Mali za Umma za Mwaka, 2024Item Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka, 2025(Wizara ya Fedha, 2025-01) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoKanuni hizi zitajulikana kama Kanuni za Marekebisho ya Kanuni za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2025 na zitasomwa pamoja na Kanuni za Ununuzi wa Umma, za Mwaka 2024 ambazo katika Kanuni hizi zinarejewa kama “Kanuni kuu”.Item Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka, 2023(Wizara ya Fedha, 2023-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoSheria hii itajulikana kama Sheria ya Tume ya Mipango ya mwaka 2023 na itaanza kutumika tarehe ambayo Waziri ataainisha kupitia notisi katika Gazeti la Serikali.Item Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa Mwaka, 2023(Wizara ya Fedha, 2023-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoSheria ya kuweka masharti bora ya usimamizi wa ununuzi wa umma na ugavi, kufuta Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2011 na kutunga upya Sheria ya Ununuzi wa Umma na masuala mengine yanayohusiana na hayo.Item Muswada wa Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi wa Mwaka, 2024.(Wizara ya Fedha, 2024-11) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoSheria ya kuweka masharti ya uendelezaji wa uwekezaji Tanzania, kuweka masharti ya mazingira bora kwa wawekezaji, kuweka mfumo wa kitaasisi kwa ajili ya uratibu, ulinzi, uvutiaji, uhamasishaji na uwezeshaji wa uwekezaji nchini, kuweka utaratibu wa uanzishaji, uendelezaji na usimamizi wa maeneo maalumu ya kiuchumi, kufuta Sheria ya Uwekezaji Tanzania, 2022, Sheria ya Maeneo Maalumu ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje, 2002 na Sheria ya Maeneo Maalumu ya Uwekezaji, 2006 na masuala yanayohusiana na hayo.Item Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma wa Mwaka, 2023(Wizara ya Fedha, 2023-10) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoSheria ya kuweka masharti ya uwekezaji wa umma, mfumo wa kitaasisi kwa ajili ya uratibu na usimamizi wa uwekezaji wa umma, usimamizi wa mashirika ya umma, kufuta Sheria ya Mamlaka na Majukumu ya Msajili wa Hazina, na masuala yanayohusiana na hayo.Item The Financial Leasing Act, 2008(Ministry of Finance, 2008-05) Tanzania, Jamhuri ya MuunganoThe Financial Leasing Act, 2008